Kuoa mwanamke wa kichaga

aisee pole sana, waeleweshe vizuri ndugu zako watakuelewa mimi hapa kuna bro wangu (kwetu sisi rombo) mke wake ni mkibosho, ilikuwa ishu sana alipotueleza anataka kuoa mkibosho wazee walikataa sana ikafikia hadi wakamtafutia binti wa kirombo amuoe bro akakataa sana ,mwishoe wazee wakamkubalia sahivi yupo poa na mke wake mkibosho, halafu wazee wamekuja kumpenda sana huyo mke wa bro, ananidhamu na pia muwajibikaji na anaupendo kwa ndugu wote. So nakuhauri kuwa na msimamo
 
na cc dada zenu wanatuita magogo kwenye yale mambo, kazi kweli!

hii itakwisha muda siyo mrefu, kwani sensa 2012 inaonyesha idadi ya wadada wa kichagga ina karibia kulingana kabisa na ya kaka zao. Hivyo itakuwa sisi kwa sisi kuondoa unyanyapaaa huu!!!!!!!!!!!!
 
umakini wa dada wa kichaga katika familia ndio unawafanya waogopwe sana na familia za makabila mengine, sasa sijui watakuwa wazembe ili wakubalike! Mungu zidi kuwabariki wachagga na kuwapofushwa maadui zake wote!
 

mkuu wewe noumaa nmekubali analysis yako; hujakosea hata kidogo
 
sikatai wachaga mpo juu bt dosari ni kwa wamachame tu.
Mimi nikipata mmarangu, mwika,rombo hata mahari ya 5 mill nalipa bt mmachame No sidanganyiki hyseeee

embu tuwasiliane ila mahari nafikiri wazazi watataka m 10 manake ghorofa ya baba(ya kijijini) haijaisha bado
 

We unaoa mwanamke au unaoa kabila?
Tabia haina race wala kabila
 
ila chaga woman wanaogopesha sana....wakianza -nkunde besa mangi...
 
Nimekutana sana na madada wa kichaga lakini nimesita kabisa kuwaoa kwa sababu ya experience niliyonayo inayohusisha familia kadhaa zenye wanawake hao.
 
wanawake weng wa kichaga ndio wanaongoza kwa kuwa wajane kwani hu waua waume zao ili warith mali wajomba wa kichaga wanapenda xana ardhi hivyo kama hauna ardh hawawez kukubali uoe labda uwe mchaga mwenzao
 

Nani kakuambia WAZAZI ,NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WANAWEZA KUKUCHAGULIA MKE WA KUOA.

NAKUSHAURI BILA HILA WALA UNAFIKI.-HUWEZI PATA MKE MZURI ZAIDI YA MCHAGGA.NA UKITAKA KUTOKA HAPO ULIPO KIUCHUMI MWOMBE MUNGU AKUPE TOTO LA KICHAGA.HAYO MENGINE YOOTE NI MADHAIFU YA KAWAIDA NA KILA MWANADAMU ANAYO NA YANAREKEBISHIKA HUKO KUNAKO 6/6.

SIFA ZAO-

1.WACHAPA KAZI
2.WANA UPENDO
3.WANAPENDA UENDELEE YAANI WANA WIVU WA MAENDELEO
4.HAWAKATI TAMAA
5.NI WAVUMILIVU.
6.WANA ROHO YA HURUMA
7.WANA KISMATI CHA MAENDELEO.
8.WANA AKILI TENA ZA KUZALIWA
9.WABUNIFU WA KUPINDUKIA
10.WANAJUA KUMILIKI NA KUTAWALA N.K
 
wanawake weng wa kichaga ndio wanaongoza kwa kuwa wajane kwani hu waua waume zao ili warith mali wajomba wa kichaga wanapenda xana ardhi hivyo kama hauna ardh hawawez kukubali uoe labda uwe mchaga mwenzao
cheki rep power yako
 
Heshimu msimamo wako.. Ukiwasikiliza sanaaa ndugu utakosa mke mwema.. Utafanyiwa
kama yale ya kalunde
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…