Kuoa bila kukusudia

huyu jamaa huenda katia mimba sasa mtaa mzima umemlia bango kua lazima aoe.
 
Yaani nimecheka balaa. Kweli hii bila kukusudia maana jamaa kanuna hana hata raha
 
MEANDU unajua wengi wa humu aidha ni wabishi au wanakurupuka au basi tu maana ni aibu mtu kukanusha habari na kesho yake ikathibitishwa. Kama huyu jamaa yetu hajui kuwa kila image unagoogle inakupa source etc.
 
Daah jf bana kuna kila haja ya kusign in kila siku,hutapoteza mda wako coz kuna werevu wengi viaz wanahesabika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…