Kunyonya Rahaaaaaaa

Kwa kawaidi mbuzi ni mnyama ambaye hajatulia,yaani ni msumbufu balaa.Cha ajabu hapa naona ametulia sana,inawezekana naye anahisi starehe ya ajabu kunyonywa!teh teh teh!!
 
ukweli nu kuwa bado kuna story nyingi ambazo hazijaelezewa vizuri hapa Afrika
 
Mbona dogo ananyonya huku anaangalia nanii ya mbuzi na mkono wake huo mwingine umeshika wapi huo!
 
yaani hii ni njaa gani sisi waafrika jamani , mbona si uungwana huu, usikute huyu anaweza hata kumpanda pia huyu mbuzi hv hv na njaa za mwili sikianza
 
Hii picha ilipigwa kule Turkana, Kenya. Huyo mtoto alichukuliwa na mtu kumlea baadae!!!

Tiba
 
dih!mimi nilijua kunyonya soseji maana hamkawii ninyi kumbe cha uroho anadokoa maziwa na suti za kuzaliwa.
 
Kwa kawaidi mbuzi ni mnyama ambaye hajatulia,yaani ni msumbufu balaa.Cha ajabu hapa naona ametulia sana,inawezekana naye anahisi starehe ya ajabu kunyonywa!teh teh teh!!

Mkuu mimi nadhani ananyonywa dushelele, kwa starehe anayopata lazima atulie!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…