Zitto na bata Dar, Mbowe na udikteta, Lissu na kuku USA

Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
581
642
ZITTO NA BATA DAR, MBOWE NA UDIKTETA, LISSU NA KUKU USA, HALAFU MNALIALIA ETI SERIKALI IMEATHIRI WATU KUTOJIANDIKISHA

Na Mwamba wa Kaskazini

Jana nilieleza kituko cha wapinzani wetu kukosa maono na hata falsafa ya kuongoza nchi. Wako hoi.

Wanasema vituko kamwe havitaisha. Ni kweli. Mara nikamuona kiongozi wa ACT akianza kampeni kinyume cha sheria za uchaguzi kwa kupiga kampeni ya kijinga akionesha baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam iliyojaa maji. Bila kuonesha yenye barabara na miundombinu mizuri!

Kasahau Dar hiyo hiyo kuna mitaa iko chini ya wapinzani wenzakeLakini kasahau mvua ni mvua hata New York na London zinajaa maji.

Ila nataka uelewe tu hawa ndio viongozi wanaotakiwa kushawishi watu wakajiandikishe kupiga kura, wenyewe hawajielewi.

Sasa kituko kingine ni kauli zinazoanza kujitokeza eti Serikali ya Rais Magufuli ndio inasababisha watu wengi wasijiandikishe kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Nimecheka sana katika hili. Labda niseme kwanza wingi au uchache wa wanaojiandikisha kupiga kura ni suala la utashi wa mtu kwa sababu kadhaa.

Nimeona Serikali ikijitahidi kuhamasisha na kukumbusha kwa njia mbalimbali na watu wanaongezeka si haba.

Nimeona wananchi wanavyofurahia mambo makubwa serikali inayoyafanya na kuwa na imani na nchi yao inakokwenda.

Lakini jitu limekaa tu hakuna linachofanya halafu linaibuka kulalamika watu hawajitokezi kujiandikisha kwa sababu ya Serikali

Kujiandikisha kunaweza kuathiriwa na sheria mbalimbali au taratibu zilizopo https://www.jstor.org/stable/1953597?seq=1#page_scan_tab_contents

Lakini hata nchi kubwa kama Marekani suala la kujiandikisha au watu kutoka kwenda kupigakura ni la utata angalia hapa: https://www.jacobinmag.com/2019/10/voter-turnout-disenfranchisement-suppression-alexander-keyssar

Ndio najiuliza maswali, Magufuli kawa lini Rais wa Marekani ambako pia wapigakura si wote wanaojitokeza ili tuseme Serikali ya Magufuli ndio chanzo? Kwa hiyo hata huko Marekani nako sababu ni JPM?Shubamiti!!! Leteni hoja za maana.

Nadhani Serikali imejitahidi sana na tutaona wananchi wanavyojitokeza lakini angalia wanaolalamika na mchango wao katika hili la watu kujiandikisha ni upi?

Hivi unalalamikia watu kutojitokeza kisa Serikali wakati wewe Mbowe yuko busy kujiongezea muhula uongoze chama kidikteta? Hapa wafuasi wa Chadema wana nguvu gani ya kujiandikisha?Wananchi wa kawaida wanaoimbiwa demokrasia watakuwa na imani gani?

Unatarajia watu wajitokeze kwa siasa za mtu kama Lissu ambaye anazunguka Marekani kula kuku na kuunga mkono ushoga halafu mtu analaumu watu kutojitokeza akiitaja Serikali.

Unalalamikia Serikali huku una kiongozi wa upinzani Zitto Kabwe ambaye Chama chake hakina hata Mtaa mmoja Dar, lakini kajiandikisha kupiga kura Dar yeye na familia yake halafu umlaumu Magufuli kwa watu Kigoma jimboni kwa Zitto kutohamasika?

Unalaumu Serikali haijahamasisha wakati hili ni la wadau wote halafu una Meya wa Ubungo wa Chadema yeye analalama tu mitandaoni kuwa kazuiwa kusafiri safari yake binafsi ya kula bata A. Kusini?

Unalaumu Serikali huku una Katibu Mkuu wa Chadema ametangazwa juzi kuwa mdaiwa sugu na Benki. Hapo mwananchi anajifunza nini kuhusu uongozi hata akapige kura?

Kwa kifupi vyama vya upinzani vimefeli vibaya katika hili na Serikali ipongezwe kwa kiwango chochote tu cha wapigakura watakaojitokeza kwa sababu wao wamejitahidi walipoweza na tunaona matumaini wanayoyatoa kwa watanzania.

Wapinzani wanaolilia demokrasia, wanaibananga demokrasia....wako busy na mambo binafsi, wanafanya matendo yasiyoendana na demokrasia halafu wanataka kulialia.

Alamsiki.

*Niite Mwamba (sema mara 3) wa Kaskazini.*
 
Inasikitisha Kama siyo kufurahisha wakati mwengine unanyamaza tu
 
Mwamba? hebu jamba ufungwe kamba upelekwe Iramba ucharangwe mapanga ya kifikra
 
Nawashangaa mno hawa wapinzani wasiotaka kujiandikisha na kushawishi wengine wasihiandikishe , watashinda kwa njia zipi??

Maana ili uwe na dola yakupasa kushinda kwa kura. sasa kama hakuna wa kuwapigia kura watuambie wana njia gani nyingine ya kuwa na mamlaka.
 
Back
Top Bottom