Kunya anye Kuku,akinya Bata.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunya anye Kuku,akinya Bata....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anselm, Jun 3, 2012.

 1. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Njaa ni kitu kibaya sana,wakati mtu ana njaa atafanya kila awezalo kuhakikisha kama si kushiba ndii-ndii basi angalau anatuliza njaa yake,na siku zote aliyeshiba huwa hamkumbuki mwenye njaa,tumeyaona hayo kwa CUF na harakati za ukombozi wa Zanzibar na tutaendelea kuyaona hata kwa magwanda endapo watafanikiwa kushika dollar.

  Hawa hapa chini katika pozi za kutowakumbuka kabisa wapiga kura wao kule majimboni kwao ni Viongozi/Wabunge mashuhuri wa Magwanda,kama picha hizi zingepigwa na Wabunge wa CCM basi yangeongelewa mengi sana humu,lkn kwasababu ni Vijana wao ambao wamekuwa wakiwashabikia kiasi cha kuwapigia kura kuwa ni kati ya wanasiasa bora kabisa Tanzania najua nitatukanwa sana humu ndani, lkn ni vizuri tukayaona na haya wanayofanyaga Viongozi wetu wanapokwenda katika safari za nje ya nchi walizozibatiza za kujenga Chama.

  View attachment 55360
  "Peace" ndivyo anavyoelekea kusema Mheshimiwa Nasari kulia akiwa na Mheshimiwa Msigwa wakati walipowaomba Vidosho vya kizungu wapige nao picha katika harakati zao za kuuza sura.

  _DSC8735.JPG
  "Oyaa mmetuona" ndivyo anavyoelekea kusema Mh Nasari,by the way sina uhakika utekelezaji wa ahadi zake alizozimwaga kule Arumeru umefikia wapi,anachotakiwa kufahamu watanzania siku hizi si wajingwa wa kivile itakapofika 2015(ambayo si mbali) watamuuliza tu.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha,
  Kupiga picha na MUDHUGU!
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jipange sawa sawa!hoja yako haina mashiko.nani alikudanganya kuwa kwenye msiba ni kulia tu!
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kazana sana! Naona juhudi zako!

  Mwisho ya yote ninaweza kusema gamba at work!
   
Loading...