Morning JF. Nataka kununua hii suzuki kei kupitia beforward naomba ambaye ana hii gari anipe matatizo yake na upatikanaji wa spare. Mafuta ina cc650 km98000mwaka 2001 cif 1985 $ hapo kuna uchakavu maana imezid miaka minane. Nipeni ushauri uwezo wangu nina m7 pia ni mkulima... NAWAKILISHA