hapana uzuri wa hizi Aseries ni simu zinazokuja zikiwa mpya,maana ni za bei ndogo.kama tecno na infinix.Sory inamaana nikienda kariakoo kununua simu kwamfano galaxy a71 au 51 kwa sasa inakua refurbeshed sio mpya? Au siwezi pata mpya?
Zipo zote mpya na refurb cha muhimu kujua kucheki ipi ni refurb na ipi ni mpya. Usipojua unaweza uziwa refurb kwa bei ya mpya.Sory inamaana nikienda kariakoo kununua simu kwamfano galaxy a71 au 51 kwa sasa inakua refurbeshed sio mpya? Au siwezi pata mpya?
Sory inamaana nikienda kariakoo kununua simu kwamfano galaxy a71 au 51 kwa sasa inakua refurbeshed sio mpya? Au siwezi pata mpya?
Iyo ni kweli kabisa, ila hua naangalia toleo la kitu mpaka muda kinapofika bongo naamini naweza pata kipya kwa muda ambao no mfup toka kilipozinduliwa ulimwenguniZipo zote mpya na refurb cha muhimu kujua kucheki ipi ni refurb na ipi ni mpya. Usipojua unaweza uziwa refurb kwa bei ya mpya.
But at the end:
Bongo vitu vingi vipya original hatuwezi mudu ndio mana magari mengi yanakuja second hand na hanaonekana mapya huku. Hii ni karibia kila kitu kinaenda na bei za kibongobongo.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Refurb zipo za aina mbili.Iyo ni kweli kabisa, ila hua naangalia toleo la kitu mpaka muda kinapofika bongo naamini naweza pata kipya kwa muda ambao no mfup toka kilipozinduliwa ulimwenguni
AiseeRefurb zipo za aina mbili.
1. Ambazo zimeuzwa zikaredishwa either kwa kampuni kuzi recall ama mteja kurudisha mwenyewe. Hizi muda hupita tangu toleo la simu mpaka kuanza kupatikana.
2. Ambazo zimezalishwa hazijafika hata sokoni. Hii inatokeaje? Mfano wamezalisha simu laki1 kwa batch moja. Katika hizo simu laki1 huwa kuna asilimia ndogo huwa na hitilafu. Hizo hazipelekwi sokoni bali hufanyiwa marekebisho kidogo na kuuzwa. Hizi hupatikana mapema wiki chache baada ya toleo la simu.
Hiyo namba mbili ni kama hapa bongo unavyoonaga mabati reject kutoka kiwandani yanauzwa bei poa.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwaiyo nikinunua galaxy a51 au 71 kuna huwezekano wa kupata refurb maana muda mrefu kidogo toka zitoke sio?Refurb zipo za aina mbili.
1. Ambazo zimeuzwa zikaredishwa either kwa kampuni kuzi recall ama mteja kurudisha mwenyewe. Hizi muda hupita tangu toleo la simu mpaka kuanza kupatikana.
2. Ambazo zimezalishwa hazijafika hata sokoni. Hii inatokeaje? Mfano wamezalisha simu laki1 kwa batch moja. Katika hizo simu laki1 huwa kuna asilimia ndogo huwa na hitilafu. Hizo hazipelekwi sokoni bali hufanyiwa marekebisho kidogo na kuuzwa. Hizi hupatikana mapema wiki chache baada ya toleo la simu.
Hiyo namba mbili ni kama hapa bongo unavyoonaga mabati reject kutoka kiwandani yanauzwa bei poa.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
A71 zinakaribia mwaka tangu ziingie sokoni so refurb nyingi sana. Ila bajeti ya mpya na refurb tofauti ni kubwa sana ndio mana hata wauzaji wengi wa kariakoo wanakwepa mpya wananunua refurb na copy. Kiukweli bongo simu mpya original haziuziki.Kwaiyo nikinunua galaxy a51 au 71 kuna huwezekano wa kupata refurb maana muda mrefu kidogo toka zitoke sio?
Naomba ushauli nina laki sita simu gani ipo vizuri kwenye camera kwa bajet hiyo mimi pendekezoo langu ni camera tu naweza pata simu yenye camera kali sana kwa bajeti hiyo