lewis mtunze
Member
- Aug 31, 2020
- 42
- 26
Nimemaanisha kwamba maduka ya jumla ya kariakoo nduguduka la jumla una maana gani ndugu!!!
maana simu za jumla zinakuwa na ajent nje ya nchi sio kkoo hapo au posta,kila simu inawekwa stiker maalumu ile stiker haitakiwi ichanwe,ndio seal ya kupokelewa na ajent wako ukimtumia report ya ubovu.
kkoo hamna duka la jumla la simu.ila ajents wapo.Nimemaanisha kwamba maduka ya jumla ya kariakoo ndugu
Stiker au warant card? Alafu kwan kariakoo hakuna maajent au inakuaje apo?duka la jumla una maana gani ndugu!!!
maana simu za jumla zinakuwa na ajent nje ya nchi sio kkoo hapo au posta,kila simu inawekwa stiker maalumu ile stiker haitakiwi ichanwe,ndio seal ya kupokelewa na ajent wako ukimtumia report ya ubovu.
Lakin 1 wanauza mdauJumla af ununue moja, af uje usumbue watu
Lakin 1 wanauza mdau
hapana sio warant card,zile stiker zinasimama kati hapo sababu mnaaminiana na agent wako wa nje.Stiker au warant card? Alafu kwan kariakoo hakuna maajent au inakuaje apo?
Mh unaimba taarabu nini?Nenda ukaibiwe. Muuzaji gani wa jumla anauza simu moja kwa bei ya jumla? Nenda upigwe.
Kwanza ni simu gani iyo uliyoifungulia Uzi hapa JF
kumbe unataka simu moja kwa bei ya jumla,Mh unaimba taarabu nini?
Ok kwa maduka ya kariakoo nikichukua simu 1 kwamfano duka la jumla sijaziwi warant card? Maana kuna wengine nimeona wananunua hata 1pc kwa jumla sjajua utaratibu na hasarahapana sio warant card,zile stiker zinasimama kati hapo sababu mnaaminiana na agent wako wa nje.
warant card si analewa mteja wa moja moja??
ambapo akirudisha ndio simu inatengenezwa.
1 tu si wanauza?kumbe unataka simu moja kwa bei ya jumla,,au unataka kuchukua nyingi ukauze dukani kwako!!!
Ok kwa maduka ya kariakoo nikichukua simu 1 kwamfano duka la jumla sijaziwi warant card? Maana kuna wengine nimeona wananunua hata 1pc kwa jumla sjajua utaratibu na hasara
mkuu ukiona hivyo basi ujue anajuana na muuzaji.Ok kwa maduka ya kariakoo nikichukua simu 1 kwamfano duka la jumla sijaziwi warant card? Maana kuna wengine nimeona wananunua hata 1pc kwa jumla sjajua utaratibu na hasara
Nimefanya uchunguzi gap ni kubwa mno kati ya 50 nzima ndo mana nauliza kama kuna hasaraKi msingi unapigwa tuu.
Maana hakuna bei elekezi na ww bei hujui, unatajiwa bei na unaambiwa ni bei ya jumla. By the way Bei ya jumla ya simu kko na ya rejareja imepishana kati ya Elfu 8 hadi 10 sijui unakwepa nn
Unataka simu gani?
Nimefanya uchunguzi gap ni kubwa mno kati ya 50 nzima ndo mana nauliza kama kuna hasara
Sory inamaana nikienda kariakoo kununua simu kwamfano galaxy a71 au 51 kwa sasa inakua refurbeshed sio mpya? Au siwezi pata mpya?mkuu ukiona hivyo basi ujue anajuana na muuzaji.
najua target yako ni uwezekano wa kurudisha simu ikapotekelewa na muuzaji kama itakuwa na shida,iko hivii,hilo ni swal gumu maana simu nyingi ni refurbished hazitoki kwa dealers wenye leseni za kampuni husika,sio simu mpya kabisa.hivyo ukirudhisha ataipokea kuirekebisha,sio kukupa nyingine.
kama unataka hivyo nunua simu kwa dealer,kitu ambacho kitakufanya usahau mambo ya kuuziwa kwa bei ya jumla.maana huko bei ni ua 0km.
Oky apo nimekuelewaKama unachotafuta ni warrant ya kuweza kurudisha simu ikiwa na tatizo basi achana na kuhangaikia maduka ya jumla.
Do this:
Kama unataka tecno nenda ofisi za wakala wa tecno, kama unataka samsung nenda ofisi za wakala wa samsung. Kama unataka iphone nenda ofisi za wakala wa apple.
Unajua ipo hivi warrant na unafuu havikai sehemu moja. Ukitaka ya bei chee ujue kureplace ngumu sana. Ukiuziwa bei ya wakala wa kampuni ya simu ina include extra costs za warrant.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app