Yupo rafiki yangu nae ana tatizo kama hilo domo linanuka kama mavi halafu hajijui Sijui mkewe anamvumiliajePole ndugu.
Ila tatzo la kunuka mdomo sijui linasababishwa na nn maana unaweza kuwa unapiga mswaki more than twice a day lkn ttz liko palepale tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia sahii,,,nunua mdalasini yale magome na asali loweka hayo magome usiku asubuhi chemsha chuja kunywa nusu kikombe ukiwa umechanganya na asali kijiko kimoja nyingine weka kwenye friji jioni kunywa tena usiipashe zoezi liendelee kwa wiki ikiisha unaloweka tena tatizo litaisha, usipende kula vitu vyenye sukari pendelea vichachu