Kungekuwa na uwezekano ningepiga kura yangu kwa Rais Magufuli kabla ya 2020

Ndugu zangu wana JF,

Kungekuwa na uwezekano wa kupiga kura kuanzia leo, ningepiga kura yangu kabisa ya ndiyo ya kumchagua Rais John Pombe Magufuli kabla 2020. Na hii ni kutokana na kujiridhisha 100% kwamba anatufaa watanzania.
Uzi kama huu ukiandika humu JF ujiandae kiakili na kimwiliii maana utakayo kutananayo ni mengi ila subiri waje wakereketwa.
 
ungewahi Mtama kwanza kwa Nape, akinamama wenzako wamekanyagwa bure kule !
angalia usijempa anachompa Bashite !
 
Mimi ya kwangu na familia na ukoo wangu mzima kura zetu anazo.

Katika ukoo wetu asilimia 70 wameoa mitara....sasa hesabu anazo kura ngapi?

Magufuli tunamhitaji kuliko kipindi chochote ktk nchi yetu. Tatizo letu sio demokrasia bali ni umasikini...na Magufuli ndicho anachopambana nacho....

Tumuombee na sisi tujiombee tufike huko 2020 ili tuendelee kumchagua kwa kishondo na kwa kura nyingi...
 
Saizi ngoja turopoke ovyo ovyo, jpm ni rais pekee sana ambae nchi hii ilipaswa impate hvyo kwa sasa tunae tumuunge mkono na tusipofanya hvyo kuna sk tutamkumbuka kama wale jamaa wanavyomumiss jk.

Tumuunge ili atulie ajenge inchi na dream zake naombeni tuzieshimu sana ili na yy afike alipopawaza
 
Back
Top Bottom