Kung-fu kwa hapa Moshi

nyakubonga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
6,495
Reaction score
11,200
Mimi ni mpenzi wa michezo ya mapigano ila tatizo langu nmekosa mwalimu wa kunielekeza, hivyo basi kwa yeyote mwenye uwezo mzuri katika michezo hii naomba tufahamiane ili ikiwezekana tuanze mazoezi.

NB; Ni kwa nia njema tu ya kujilinda na kujenga mwili


Wenu mtiifu,

nyakubonga.
 
mkuu nenda kwa MISS CHAGA atakufundisha ni ticha mzuri wa martial arts
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…