Kundi la Team Lowassa (mtandao) kutawala nafasi za juu Chadema 2019

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ajizi nyumba ya njaa, sasa yametimia. Kuelekea mwaka 2019 nafasi muhimu za Chadema kushikwa na wafiasi wa EL na wengi wao watachomoka kipindi kuelekea uchaguzi mkuu 2020 kwani nafasi yao ndani ya CCM mpya ni finyu.

Suala la Makinikia nalo litakuwa shubiri kwao kiasi cha kuwafanya wakimbie na kwa sasa kimbilio lao la uhakika ni Chadema kwani sera yake ipo wazi yeyote mwenye 'wapiga kura' anakaribishwa bila hata kura za maoni.

Naam, hata tabia za vijana wengi wa Chadema sasa zimebadilika kwani wengi sasa wanatumia fursa ya vibopa hao kuingiza kipato.

Muda unaenda kuyaanika haya.
 
Mwenyekiti wako hataki siasa we upo huku unaendekeza majungu badala ya kupiga kazi
 
Back
Top Bottom