Teh teh teh teh mkuu hebu funguka zaidi huko ni maeneo ya home. Linafanyaje?Hiki ni kikundi cha wanawake wenye lengo la lunyanyasa wanaume walio achishwa kazi, waliokwama, waliokaa mda mrefu bila kupata kazi.
Hiki kikundi kiboko
Ndani ya gazeti la majira leo kwa habari zaidi.