Mkuu hivi kulikuwa ma memba wengine tofauti na hao wa juu
Sidhani kama bado lipo hai maana sikuizi hata hawalizungumzii kama zamani... na huyo mdogo ake J nadhani sukuiz keshaacha mziki
Babu Ayubu pia alikua mwana choka, Adili nadhani alijitoa mapema tu hivyo kundi likabaki na Jay pamoja na wadogo zake kama Simple X, Black Rhino, Dj Choka na Babu Ayubu. Lakini kama utakumbuka ni kua kundi hili halikuwahi kua kali kama makundi mengine ya ECT na TMK wanaume, Kundi hili lilikua ni kama wasanii walioshirikiana na Prof ktk nyimbo tu kama ilivyokua walume ndago chini ya Inspector Haroon.
Vp kuhusu Terry, hakuwa mwanachoka?
Kuna mchizi alishilikishwa kwe ngoma ya Q chief-mwana mnyonge sijui ndo nani vile?
vp kuhusu terry, hakuwa mwanachoka?
Kuna mchizi alishilikishwa kwe ngoma ya q chief-mwana mnyonge sijui ndo nani vile?