kunauwezekano huu?

allina

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
76
Reaction score
13
habari wanaJf science,hivi kunauwezekano wakupata mawasiliano ya simu(sms na calls) ya mtu mwingine kupitia simu ya mkononi?nielimisheni wakuu.
Natanguliza shukran.
 
habari wanaJf science,hivi kunauwezekano wakupata mawasiliano ya simu(sms na calls) ya mtu mwingine kupitia simu ya mkononi?nielimisheni wakuu.
Natanguliza shukran.

ndio mkuu inawezekana inategemeana na huyo unayetaka uwe unapata mawasiliano yake anatumia sim ya aina gani??

kama atakuwa anatumia hizi smart phone kunauwezekano mkubwa wakufanisha hilo.
kuna application una instal kwenye sim yake bila ya yeye kujua kama ni mpenzi wako the hiyo application itakuwa inakupa hivyo unavyovihitaji

like sms call alizopiga pigiwa n.k.

na kuna application zingine zipo nyingi tuu zakulipia mkuu kwaajili ya shughuli hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ