mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 972
- 1,669
Sio kweli mkuu ninachofahamu eneo lenye dhahabu hupendelewa sana na mvua kipindi cha masika tofauti na maeneo mengine. Haya ni maisha ninayoyaishi na siamini kama kuna mtu atakuja kunishawishi maisha mengine tofauti na uchimbaji. Let me die as a miner foreverWakuu habari?bila kupoteza muda napenda kujua hivi kwa nini upatikanaji wa dhahabu huongezeka sana msimu wa mvua kuliko msimu wa jua?nini huwa kinatokea? Na hko chini ni kitu gani kinachotengeneza hayo madini?asanteni
Kashakufa huyu jamaa
Sasa wewe hujadiscuss hivyo vizito umeishia kuweka dongo tuAise ----Ndio ujue kuwa wabongo wanapenda Ku -discuss vitu vyepesi vyepesi
Sasa wewe hujadiscuss hivyo vizito umeishia kuweka dongo tu
Kama wewe haujui kwa nini hujafikiria kuwa pengine na wenzio hawajui wanasubiria kujifunza kama wewe?Nilikuwa najibu comment ya first commentator "
Though naweza kuwa sijui pia ---so nipo hapa kwaajili ya kujifunza
Kama wewe haujui kwa nini hujafikiria kuwa pengine na wenzio hawajui wanasubiria kujifunza kama wewe?
That's better, kama mtu hana cha kukomenti kuhusu mada husika apite tu kuliko kuandika ujinga eti 'ngoja waje' 'siti ya mbele' 'nasubiria nisome comments' ndio mwanzo wa kubadili muelekeo wa madaWalipaswa kuonyesha walau uwepo wao ''ili wapate kumtia hamasa mtoa mada '' yaani tangu mwaka 2016 wamekaa kimya wa nasubiri kujifunza. Like seriously ??
.mbona kwenye zile topic zenu zinazo husu vibamia and blah blah huwa mna comments (wa kwanza. Wapili ) hata kama huwa mnakosa cha maana cha ku-comment. l
Nini sababu hasa inayopelekea mvua kunyesha kwa wingi katika maeneo hayo?Sio kweli mkuu ninachofahamu eneo lenye dhahabu hupendelewa sana na mvua kipindi cha masika tofauti na maeneo mengine. Haya ni maisha ninayoyaishi na siamini kama kuna mtu atakuja kunishawishi maisha mengine tofauti na uchimbaji. Let me die as a miner forever