Kunauhusiano gani hapa?watu wa miamba .

mwenye shamba

JF-Expert Member
May 31, 2015
961
1,600
Wakuu habari?bila kupoteza muda napenda kujua hivi kwa nini upatikanaji wa dhahabu huongezeka sana msimu wa mvua kuliko msimu wa jua?nini huwa kinatokea? Na hko chini ni kitu gani kinachotengeneza hayo madini?asanteni
 
Sio kweli mkuu ninachofahamu eneo lenye dhahabu hupendelewa sana na mvua kipindi cha masika tofauti na maeneo mengine. Haya ni maisha ninayoyaishi na siamini kama kuna mtu atakuja kunishawishi maisha mengine tofauti na uchimbaji. Let me die as a miner forever
 
Nilikuwa najibu comment ya first commentator "

Though naweza kuwa sijui pia ---so nipo hapa kwaajili ya kujifunza
Kama wewe haujui kwa nini hujafikiria kuwa pengine na wenzio hawajui wanasubiria kujifunza kama wewe?
 
Walipaswa kuonyesha walau uwepo wao ''ili wapate kumtia hamasa mtoa mada '' yaani tangu mwaka 2016 wamekaa kimya wa nasubiri kujifunza. Like seriously ??

.mbona kwenye zile topic zenu zinazo husu vibamia and blah blah huwa mna comments (wa kwanza. Wapili ) hata kama huwa mnakosa cha maana cha ku-comment. l

That's better, kama mtu hana cha kukomenti kuhusu mada husika apite tu kuliko kuandika ujinga eti 'ngoja waje' 'siti ya mbele' 'nasubiria nisome comments' ndio mwanzo wa kubadili muelekeo wa mada
 
Unaweza uka comment hata comment Inayosema. .

namimi nasubiri kuelimishwa kama mtoa mada. .still utaonekana Muungwana 'Kubwa zaidi itakuwa umetoa support. .na kumfanya mtoa mada ajione kuwa wazo lake sio la kijinga ni lenye thamani. ..

Kitendo cha topic Iliyokaa muda mrefu kukosa wachingiaji. ...ni ishara 1 kubwa sana inayo dhihirisha kuwa-- baadhi ya members (wengi ) wanapenda sana kufuatilia vitu vya kipuuzi. .vilivyokosa mantiki
 
Sio kweli mkuu ninachofahamu eneo lenye dhahabu hupendelewa sana na mvua kipindi cha masika tofauti na maeneo mengine. Haya ni maisha ninayoyaishi na siamini kama kuna mtu atakuja kunishawishi maisha mengine tofauti na uchimbaji. Let me die as a miner forever
Nini sababu hasa inayopelekea mvua kunyesha kwa wingi katika maeneo hayo?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom