Je Lema anapaswa kuchukuliwa sheria kwa kosa hilo, ili iwe fundisho kwa wengine!?Ni kweli mhe.Lema alimrekodi RPC Andengenye na diwani Estomihi, lakini kwa fikra zako chakavu unadhani kosa ni la Lema??
Kosa liko kwa TCRA kwa kushindwa kudhibiti mawasiliano. Because TCRA are the watchdog to regulate the communication, and protect the privacy of the subscribers.
Mkuu sheria iko wazi, kwamba kuingilia mazungumzo ya watu ni kosa. Lakini sheria hiyohiyo inaruhusu baadhi ya vyombo viwapo katika shughuli zao viruhusiwe kuingilia mazungumzo ya watu. Mfano mzuri ni watu wa usalama wa taifa.
Kwa upande wa suala la lema limekaa kimtego, linawafanya victims wasiweze kwenda mbele ya vyombo vya sheria kulalamikia uvunjifu wa sheria ya mawasiliano. Hasa kutokana na unyeti wa kile kilichokuwa kikipangwa na wahusika.

Kwa ujumla wake wa kulaumiwa ni TCRA, bado haina ufanisi katika kuhakikisha enforcement ya communication act inafanyika bila obstacles.