Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
dah! sasa si tutajipa ugonjwa wa moyo mkuu?
Nalog off
Noo, ni vzr kuwa honest brother
ni kweli kiongozi wangu.Kila msema kweli hastahili kuadhibiwa.
Nalog off
Leo nimepata kaujanja haka kutoka kwa rafiki angu mmoja aliefunga ndoa na iPhones. Kumbe unawezapiga "screenshot" kwa kutumia simu hiyo hiyo ikajipiga picha yenyewe!
Huenda huja nielewa! Ebu ona hii nimetumia simu yangu kutoa mfano tuView attachment 122709
Au View attachment 122713
So ile page ambayo iko current unaiangalia unaweza ipiga picha ili uwe ushahidi hasa kwetu ambako ukanjanja umezidi
Sounds good?
Yes;; jinsi ya kufanya
1. Fungua ukurasa-facebook, Jf, sms, email au hata picha ktk screen yako
2. Bonyeza button hizi kwa wkt 1, ya kuwasha simu na "home button" yani ile button unayoitumia mara nyingi
3. Utasikia click ya picha kupigwa
4. Nenda kwenye picture library utaikuta
Jaribu sasa,
Cheers
Napendaga nijue utaalamu wa kufanya screen shot,mwenye kujua how to do with samsung galaxy s4 anijuze wakuu... .
Siifanyii promo iPhone though, ikiwa kuna app nyingine from samsung, nokia, au brand ingine mtu aweza tupia tu tuione coz sio kila mtu ako na iphone
hahhahahhahah i knw uLeo nimepata kaujanja haka kutoka kwa rafiki angu mmoja aliefunga ndoa na iPhones. Kumbe unawezapiga "screenshot" kwa kutumia simu hiyo hiyo ikajipiga picha yenyewe!
Huenda huja nielewa! Ebu ona hii nimetumia simu yangu kutoa mfano tuView attachment 122709
Au View attachment 122713
So ile page ambayo iko current unaiangalia unaweza ipiga picha ili uwe ushahidi hasa kwetu ambako ukanjanja umezidi
Sounds good?
Yes;; jinsi ya kufanya
1. Fungua ukurasa-facebook, Jf, sms, email au hata picha ktk screen yako
2. Bonyeza button hizi kwa wkt 1, ya kuwasha simu na "home button" yani ile button unayoitumia mara nyingi
3. Utasikia click ya picha kupigwa
4. Nenda kwenye picture library utaikuta
Jaribu sasa,
Cheers
Leo nimepata kaujanja haka kutoka kwa rafiki angu mmoja aliefunga ndoa na iPhones. Kumbe unawezapiga "screenshot" kwa kutumia simu hiyo hiyo ikajipiga picha yenyewe!
Huenda huja nielewa! Ebu ona hii nimetumia simu yangu kutoa mfano tuView attachment 122709
Au View attachment 122713
So ile page ambayo iko current unaiangalia unaweza ipiga picha ili uwe ushahidi hasa kwetu ambako ukanjanja umezidi
Sounds good?
Yes;; jinsi ya kufanya
1. Fungua ukurasa-facebook, Jf, sms, email au hata picha ktk screen yako
2. Bonyeza button hizi kwa wkt 1, ya kuwasha simu na "home button" yani ile button unayoitumia mara nyingi
3. Utasikia click ya picha kupigwa
4. Nenda kwenye picture library utaikuta
Jaribu sasa,
Cheers
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana. Kuna sehemhata ukizifuta sms zinabakihiyo ndy unaijua leo mkuu?..utakuwa "hauichezeagi" simu yako kabisaa! thats just a screenshot, mmbeya anaingiaje hapo mkuu wangu?
Almost Smartphones zote zina feature ya kucapture screenshot
Hata pc inayo pia
can you please elaborate through the use of pc?
kaka angalia kwenye POST zangu,
kuna moja nimeandika "KWA ANAE HITAJI SNIPPING TOOL"
.
inahusika sana