Kunani?

The Son

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
459
Reaction score
59
Mtandao wa tiGO haupatikani Morogoro mjini? Ni nini mbaya?
 
Mtandao wa tiGO haupatikani Morogoro mjini? Ni nini mbaya?

Tulia utarudi,ukiona hivyo ujue mawasiliano ya kuja moro au mitambo ya tigo inayowahudumia moro kuna tatizo.Piga customer care tigo ,wanatakiwa wawe na jibu.Hapa sisi wapita njia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…