Kunani Yombo??

Kunani Yombo??

djsisco

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
104
Reaction score
15
Sasa hivi kuna milipuko inasikika kila baada ya dakika chache, yameanza tena au??
hata usingizi umekata
 
Yaani tangu saa nane milio ilipoanza sijalala kabisa! Ni majambazi au askari wanafanya zoezi?
 
Kumbe ni tangu saa nane...mwe...mi nliskia saa tisa kama na nusu hivi...japo cjalala hadi saivi najiandaa kutoka
 
Back
Top Bottom