Kumekuwa Na habari zinazozunguka kwenye Mitamdao juu ya kuondolewa kazini Kwa wafanyakazi waandamizi wa TBC akiwemo Mhariri Mkuu wa TV Susan Mungy. Lilian Shirima Mkuu wa vipindi,Na Abdallah Ndege. Cha kushangazwa ni kwama mpaka sasa TBC wameshindwa ama kuthibitisha ama kuhamasisha hicho Kisa Na Mkasa. Wakati naongea na wadau waliweza kulihusiaha tuko hila ni sabotage ya Hali ya juu iliyofanya nanTBC Kwa shughuli nzima ya maazimisho ya siku ya kuzaliwa baba wataifa yaliyofanyika pale kigamboni Na kurushwa moja Kwa moja Na TBC lakini Kwa namna ya Kituko cha ajabu. Matangazo hayo kukatishwa kihuni Wakati Yule Mzee akielezea Kuwa Mwalimu hakuwahi kuhodhi Ardhi yoyote zaidi ya Ekari 3 za pale Msasani. Swala tunalojiuliza ni nani hasa aliyeagiza hiyo sabotage? Pili hivi ni Kwa nini TBC wajione ni zaidi ya waasisi wa nchi Yetu walio kutana jana wakiwemo Mawaziri wakwanza wakina mama Siwale, mama Mongela, kina Mzee kaduna, Mangula Na wengine Na Kwa nini shirika hili la umma lenye ufanisi sifuri halijaomba msamaha Na kurudia kuonyesha kipindi hicho mpaka leo. Huyo Ayubu Rioba anasubiri nini kurudishwa huko usalama wa taifa, Na ni lini huyo Dereva Kombo atakubali Kuwa watueleze wake Ni mabogas. Naomba tuungane kumfukuza Rioba Na kuihakikisha kipindi hiki cha kumbukumbu ya Mwalimu kinarushwa Tena Na Tena Kwa Kuitwa TBC ni Yetu sio ya usalama wa taifa, imejua mavipindi pumba kabisa naku acha kutuonupyesha tunu za taifa letu,