Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,369
Lishe duni miaka hii, watu wanasoma alafu ndani ya dakika kumi anakuwa kasahau kabisa. Virutubisho vinavyoujenga ubongo vinakosekana, siku hizi mdebwedo sana
tatizo ni serikali imeshindwa kusimamia elimu yetu, mitahara inabadirishwa ovyo sababu imekua ni biashara watunzi wa vitabu vya mashuleni ni hawa wanasiasa,
miaka ya nyuma mpaka mwaka 2001 hivyi mtu alikuwa akifahuru shule za serikali anajivunia na mtahani anaonekana yuko vizuri kichwani na viongozi wakubwa walikua wanaonga watoto wao wasome shule za serikali.
Leo hii shule zote za serikali zimekufa ata mwanao akifahuru kwenye shule hizi unamtafutia shule ya binafsi.
Tatizo kubwa mimi nililiona sasa elimu tumeirahisisha sana tunatafuta njia ya mtoto kafuhur kwa kujua maswali na majibu kuliko kuelewa
kusoma sana summary za notes, kuliko kusoma notes zenyewe na vitabu,
tunatakiwa tuangalie wapi tumekosea na tunaelekea wapi
na usimamizi mkubwa unatakiwa kuwekwa kwa walimu
we unashangaa hayo....
kuna mwanachuo alikuwa anasoma kozi ya PS {political science}, alituuliza swali "MWAKA HUU -2015 KIKWETE ANAGOMBEA NA NANI?"
Tukabaki tunashangaa
Mnashabikia ccm halafu mnakuja kuweka Matako yenu humu kulaumu Leo??
mnaakil kweli! kama sio mbatia ule upuuzi wa vitabu tungeijuaje??
wengi wenu mkiwa na kipato mil. 2 per day ..mnaanza kutetea ccm
Bora Dr mihogo kuliko mi Dr umekaa inatetea uozo, yaani unakuja kutana na lijitu badala ya kutetea umma...limekaa na mwili MKUBWA pressure 180 anasubiri imuangushe. Ina rweitama. anahangaika. udsm sijui nawaonaje. ndio wanarithisha uwozo kwa watoto, thy ar not hero, unategemea nin kwa wanafunz. mtoa uzi philosophy yako ni dhaifu..kama ni swali au hoja haieleweki. usiwalaumu. maxsti na African nini..unataka jawabu gani. fafanua mwenyewe
elimu yetu kwakwel...xa hv tatizo linahamia vyuoni...vyuo vyetu vimekaa kibiashara sana havitoi elimu bora..
mwanafunz wa CBG, CBN,CBA, anasoma engineering ukitaka proof nenda st.Joseph
kutoa sup n dil vyuon elfu 30 kutoa sup IFM pale....
.gwankaja chipsi mayai na fanta ya baridiLishe duni miaka hii, watu wanasoma alafu ndani ya dakika kumi anakuwa kasahau kabisa. Virutubisho vinavyoujenga ubongo vinakosekana, siku hizi mdebwedo sana
nyie endeleeni kushangaa tu huko maofisini,sisi tuliopo kwenye field ya ualimu tunajua yanayoendelea hapa Tz• Ukweli nikwamba matokeo yanapikwa na serikali inadanganya tu watu kuwa ufaulu umeongezeka• Mtoto unamfundisha miaka yote ya masomo yake hapati hata C ila utashangaa majibu ya necta yakitoka ana A!!
watanzania wamerogwa suluhisho wamtafute aliewaroga ili awatoe urogi