GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,990
Kwakua ww mwanaume unashika mimba za wanaume wenzako ndo mana unauliza wanaume maswali ya kijinga hivyo baada ya kuishiwa hoja fala we
Mzee sina mpango wa kujulikana hapa na ndio maana sinaga thread humu zaid ya moja kwa miaka yote nimekaa humu.Naona unatafuta kupata Umaarufu kupitia Kubishana na Mimi hapa kwakuwa unajua GENTAMYCINE ni Brand ID ' hivyo utaweza Kujulikana Kiurahisi mno. Je, bado mpaka sasa hujajulikana tu ili labda nikusaidie Kukufanyia ' Promo ' kwa ' Members ' hapa ili ID yako nayo ianze Kuangaliwa na Kujulikana kwa uharaka?
Kagame ni kiongozi bora ndio maana anapitia majaribu mengi
Mzee sina mpango wa kujulikana hapa na ndio maana sinaga thread humu zaid ya moja kwa miaka yote nimekaa humu.
Ningekua nahitaji kujulikana ningkua nafungua nyuz na ku comment kipumbavu pumbavu kama unavyofanya ww.
Am not of such a kind.
Am here to learn from the rest na dio mana nakereka sana na upuuz kama wa kwako na watu wa aina yako.
Learn to respect people's opinions.
Muda kuipa promo ID yangu utumie kujenga akil yako.
Being a "much know" wont solve u anythng
Dooooohhhh!!!!!Ungekuwa na hata 5% ya IQ yangu nadhani ungeringa na Ukoo wako ungekufanyia Sherehe Kubwa ila bahati mbaya umebarikiwa ' Upumbavu ' uliokutukuka. Naona baada ya ID yako ile nyingine kupigwa BAN ( Pini ) umeamua Kuiibua hii ili uendeleze Mashambulizi yako Kwangu. Yaani nakudharau na nakusanifu kweli kweli huko nikikuona ni bonge la ' Bwege Nazi ' fulani hivi.
Dooooohhhh!!!!!
Na majigambo yako yoote kuhusi IQ kumbe ndio huwa unapotea njia kiasi hiki???yan ndio una fail kuunga dot kiasi hiki?kwamba nina Id imekula Ban???
Ahahahahahahahahahah.
Wanaokutaga popoma kumbe wako sahihi.
Mzee toka niingie humu nishakula ban only once.pole sana.Sina Id nyingin
Paul Kagame ni muhanga wa Genocide na anajua A to Z kuhusu ulinz na usalama wa Rwanda na hata mataifa jirani. Kumbuka alikua jeshini kwa miaka mingi. Sina shaka na anachokisema.Wadau,
Kumekuwa na mlolongo mrefu wa walinzi binafsi wa Kagame kushtakiwa kwa kutuhumiwa kutaka kumuua.
Hivi huyu Kagame mwili wake umeundwa na dhahabu mbona marais wenzake wakina Museveni, Nkrunzinza, Kabila, Magufuli nk. hatujawahi kusikia wamemfunga mtu au kumpeleka mahakamani kwa tuhuma kama hizi za Kagame?
Salama yake na yeye afe[emoji23][emoji23][emoji23]!!!KISIWAGA,
Damu ya Alfred Rwegama inamlilia, mzimu bado unamuandama! Salama yake na yeye afe.
Wee acha upumbavu wewe, kumbe wee jamaa ni fala hivi duhUngekuwa na hata 5% ya IQ yangu nadhani ungeringa na Ukoo wako ungekufanyia Sherehe Kubwa ila bahati mbaya umebarikiwa ' Upumbavu ' uliokutukuka. Naona baada ya ID yako ile nyingine kupigwa BAN ( Pini ) umeamua Kuiibua hii ili uendeleze Mashambulizi yako Kwangu. Yaani nakudharau na nakusanifu kweli kweli huko nikikuona ni bonge la ' Bwege Nazi ' fulani hivi.