Kunani kwenye mwili wa Kagame

We popoma yule jamaa yenu anautapia mlo Ndiyo maana anenepi mpeni dawa za minyoo
Pumbavu wakubwa nyie vilaza watu wanawaza kupinduliwa tuu na kuuwa watu wengine utafikiri wao hawatakufa
Maza fanta
 
Mbona hayo mambo hatuyasikii kwa museven
Hujui kua alimtimua jeshini hadi ndugu yake wa damu General Salimu Saleh, hujui anachomfanyia daktari wake binafsi Kanali Kiza Besigye, Hujui alichomfanyia general Mugisha Muntu, hujui alichomfanyia General David Sejusa? Hao wote kama sio kukimbilia uhamishoni kwanza sijui leo wangekua wapi? Na hao wote walikua nae huko bush war.
 
Ni uoga tu mkuu kwa sababu wanajua ishu nyingi kumhusu, ila kinachosikitisha hata walio kwenye system sasa hivi baadhi yao watawindwa badae.
 
KISIWAGA,

Mzimu wa Afande Gisa (Fredy Rwigyema) Unamtesa, kwa style ile ile aliyomuua mkuu wake wa chama akachukua mikoba ya RPF naye atafanyiwa vile vile hicho ndio kinachomtesa kila akilala.
 
kawaida wakati mwingine mapinduz hula watoto wake aliowazaa mwenyewe. hii hata Uganda wale walioanza na Museven washaondoka sana
 

Tafadhali rekebisha upesi hapo kwenye General David Sejusa na andika General David Tinyefunza.
 
Hiv kwann unakua mpumbavu namna hii chief!!???
Fanya kama umeenda shule basi..

Kama Kumuuliza Mtu kuwa amezaa na Mwanaume Watoto wangapi hadi hivi sasa ni Upumbavu basi nadhani Wewe ndiyo utakuwa Pumbavu / Popoma Mwandamizi kabisa Mkuu.
 
Kama Kumuuliza Mtu kuwa amezaa na Mwanaume Watoto wangapi hadi hivi sasa ni Upumbavu basi nadhani Wewe ndiyo utakuwa Pumbavu / Popoma Mwandamizi kabisa Mkuu.
Kwakua ww mwanaume unashika mimba za wanaume wenzako ndo mana unauliza wanaume maswali ya kijinga hivyo baada ya kuishiwa hoja fala we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…