M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,510 Reaction score 6,893 Jul 20, 2019 #1 Hospital ya vichaa dodoma Gereza la la vichaa dodoma Makao makuu ya nchi kuhamia Dodoma kabla ya 2020
Hospital ya vichaa dodoma Gereza la la vichaa dodoma Makao makuu ya nchi kuhamia Dodoma kabla ya 2020
M Marwa_J_Merengo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 4,510 Reaction score 6,893 Jul 20, 2019 Thread starter #2 Kunani dodoma jamani
h120 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 2,545 Reaction score 3,370 Jul 20, 2019 #3 Hoja yako haswa ni ipi, Kwa hiyo Hospitali ingekua Mbeya au Mwanza bado ungehoji? Ulitaka iwekwe wapi hiyo hospitali ili uridhike embu tueleze.
Hoja yako haswa ni ipi, Kwa hiyo Hospitali ingekua Mbeya au Mwanza bado ungehoji? Ulitaka iwekwe wapi hiyo hospitali ili uridhike embu tueleze.
CEO 2b Senior Member Joined Jul 6, 2017 Posts 117 Reaction score 83 Jul 20, 2019 #4 Dodoma ni Centre as uhitaji wa hivo vitu ulivosema ni mdogo kila mkoa inabidi viwekwe sehem rahisi kufikika na kila mkoa kirahis, hata serikal pia logic ni hiyo hiyo
Dodoma ni Centre as uhitaji wa hivo vitu ulivosema ni mdogo kila mkoa inabidi viwekwe sehem rahisi kufikika na kila mkoa kirahis, hata serikal pia logic ni hiyo hiyo
wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,840 Reaction score 2,333 Jul 20, 2019 #5 Mkuu Ili Andiko Toa Makao Makuu Ya Nchi Kuamia Dodoma Kabla Ya 2020 Narudia Tena Toa DAR TAMUU WEWE
S samakinchanga JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 2,024 Reaction score 1,237 Jul 21, 2019 #6 Huyu wivu unamuwasha au unamkereketa hana jipya anzisha lingine