Mbona wenzenu wa College of Health and Allied Sciences wamezoea?? Hawana maji toka wahamie kwenye majengo yao miezi 9 iliyopita!! Wanajifunza afya kwenye mazingira machafu na hatarishi
Nakwambia senetor.....chuo kimeanza bila maandalizi.....hakuna wahadhiri wa kutosha...hakuna huduma muim ndio km maji,,,,,hakuna field.....so hiko ndio chuo gani??????shahda hizo zitakubalika wapi?????