Kuna watumishi wanajituma sana!

nenda RITA makao makuu division ya wilaya ya ilala, mpaka upate cheti cha kuzaliwa kimeandikwa kwa usahihi kuanzia jina mpaka tarehe utarudia mara tatu hadi nne na unaweza ukakata tamaa au ukatukana sana.
 
nenda RITA makao makuu division ya wilaya ya ilala, mpaka upate cheti cha kuzaliwa kimeandikwa kwa usahihi kuanzia jina mpaka tarehe utarudia mara tatu hadi nne na unaweza ukakata tamaa au ukatukana sana. Watumishi wa rita makao makuu ni wazembe mno
Sio RITA tu! Naomba uwende baraza la mitihani Necta, pale kijitonyama ukafuatilie chochote iwe cheti mbadala au barua, utafanyiwa visa pale reception mpaka ukome, tena kuna mama pale ananyodo mpaka basi, ilikuwa nimnase makofi
 
serikalini kupata mtumishi mchapakazi ni sawa na kuokota dhahabu sokoni
 
Sawa Jose tumekuelewa
 
Kichefuchefu kipo Manispaa ya Kinondoni aisee, unaenda unahitaji kushughulikiwa jambo lako kupata jibu mtu hadi amalizie kutuma emoj kwanza...[emoji706]

Wale wamama wa pale hasa masijala Mungu anawaona
Wanajiskia sijapata ona
 
serikalini kupata mtumishi mchapakazi ni sawa na kuokota dhahabu sokoni
Japokua wachapa kazi Serekalini wapo wengi tu,sema kuwapata wakuhudumie ndiyo uwombe sana Mungu!!
 
Huwa haufanyi kazi zako unashinda kutwa nzima kufuatilia ratiba ya Jose?
 
Wanaishiaga kuwa maskini tu ndo shida
 
Jose bana umeona hatukuoni umeamua kuja kujisifia mwenyewe kwa mbinu hii
 
Anapenda anachokifanya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…