Kuna watumishi wanajituma sana!

Kweli kabisa mkuu, japokuwa mimi si jose
 
Hawa ni kuwabainisha kama hivi ndo dawa yao, tusikae kimya
 
Kweli aisee. Hata mimi nilikutana na Mwl kwenye shule moja ya sekondari kule Kigoma aisee alikuwa Second Master jamaa anapiga kazi hadi nilimkubali. Alinipa moyo sana. Na ilikuwa Raha sana kufanya kazi na yule mtu. Nilishamsahau jina maana ni kitambo sana.

Mwamba Mwingine nilikutana naye NMB kule zanzibar Tawi la Malindi Tall fulani hivi ananyoa Pank amazing jamaa anapiga kazi hana mchezo.

Simjui jina pia lakini Pongezi hizi zimfikie popote alipo.

NMN Malindi Zanzibar huyu Benk Teller is amazing
 
Cha ajabu katika utumishi wa umma ukiwa mchapakazi unaonekana ni tatizo.....Tuna safari ndefu sana.
Wakati wewe uko mwaminifu ktk kazi wengine wako bize na connection na mafisadi tu. Na hapo ndio unaonekana mkorofi πŸ˜…πŸ˜…
 
Bora tuwe tunawachana hivyo hivyo maana Takukuru haina kazi
 
Wakati wewe uko mwaminifu ktk kazi wengine wako bize na connection na mafisadi tu. Na hapo ndio unaonekana mkorofi πŸ˜…πŸ˜…
Inashusha sana morali ya kazi, 2021 ilikua ndio mwisho wangu kufanya kazi kama punda....haitakaa ijirudie labda kazi zangu binafsi ila sio za umma, nilijifunza mengi sana ukifanya kazi kwa kujitoa unakua ni tatizo.
 
Ndiyo unless uwe mtu wao( satan company)
 
Mimi pale Chuo Cha Usimamizi wa Fedha, Ifm nilikutana na mama mmoja loan officer mnyakyusa alinisaidia sana kwa kweli, na ni mpiga kazi sawa sawa sio mtu wa kujiona wala majivuno, namshukuru sana
 
Kichefuchefu kipo Manispaa ya Kinondoni aisee, unaenda unahitaji kushughulikiwa jambo lako kupata jibu mtu hadi amalizie kutuma emoj kwanza...[emoji706]
 
Kichefuchefu kipo Manispaa ya Kinondoni aisee, unaenda unahitaji kushughulikiwa jambo lako kupata jibu mtu hadi amalizie kutuma emoj kwanza...[emoji706]
Kuna umuhimu mkubwa sana wa Mama kua mkali kwa Watoto wake ambao ndiyo Watumishi wa Umma, Mtoto ukimdekeza sana anaharibikiwa, Mama ajaribu kua mkali kidogo Kama alivyokua Marehemu Baba!!
 
Kuna dada mmoja wilaya flani mkoa wa Pwani asee dada anapiga kazi sana Mungu ambariki sana.
Mtaje kwa majina Mkuu.

Taifa linahitaji watu wa namna hii.

Siyo haya mabumunda mengine ukienda Ofisini kwao wanakuona kama umeenda kuwakera tu..

Hongera sana Jose wa Rita na Dada wa Mkoani Pwani. Mungu awabariki sana muendelee na Moyo huo wa kuhudumia Watanzania kwa nidhamu.
 
Sema Jose unatafuta cheo sana, unahisi Alex akiona hii post ndio atakupandisha? Pale pamekaa kikabila mchizi wangu, we komaa na mishe zingine ila usitarajie kutoka kupitia hiyo kazi
 
Sema Jose unatafuta cheo sana, unahisi Alex akiona hii post ndio atakupandisha? Pale pamekaa kikabila mchizi wangu, we komaa na mishe zingine ila usitarajie kutoka kupitia hiyo kazi
Unamjua jose mwenyewe pale RITA
 
hajanunua gari bado huyo..hajapata ata 20ml loan.. kwa kifupi fatilia vzuri utakuta bado yupo kwenye probational contract.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…