funzadume JF-Expert Member Jan 28, 2010 13,562 21,042 Dec 3, 2021 #81 Dit000 said: ikoje mkuu?? Click to expand... Nzuri sana ona kila kitu cha maana inanukia vizuri na pia imewekea vitu vyote ndani Kenya wametuacha sana kwenye interior design
Dit000 said: ikoje mkuu?? Click to expand... Nzuri sana ona kila kitu cha maana inanukia vizuri na pia imewekea vitu vyote ndani Kenya wametuacha sana kwenye interior design
Kashaija72 JF-Expert Member May 18, 2020 2,031 4,862 Dec 5, 2021 #82 Zeemadeit said: Mie pia juzi kati nmeingia nyumba ya hivyo..bila kusahau jiko lina makabati makali fridge milango miwili ndani limependeza hatari. Hongereni mlofikia huko na mie napambana nifike. Click to expand... Kuna fridge ya milango 4. Juu miwili chini miwili ni nzuri mpaka daaah
Zeemadeit said: Mie pia juzi kati nmeingia nyumba ya hivyo..bila kusahau jiko lina makabati makali fridge milango miwili ndani limependeza hatari. Hongereni mlofikia huko na mie napambana nifike. Click to expand... Kuna fridge ya milango 4. Juu miwili chini miwili ni nzuri mpaka daaah