Kuna watu wanaishi kama helkopta

Kuna watu wanaishi kama helkopta

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,620
Reaction score
89,322
CDPH-5038-044R.jpg

Hivyo ndivyo walivyo hawana hata chembe ya utu wao kujikweza ndio utukufu wao, nakwakuwa wanambawa ni ndoto kuwapata.
lkn kazi ni pale wkt wa kuongeza mafuta hushuka,huzima pangazao na kutulia tuli kama mto mtakatifu!, kumbe mamba wametapakaa chini yake!.

zile kelele zakutisha tena huisha maana huitaji tena kuwezeshwa kulindima,kuvuma nakupaa.
pindi helkopta inapopata mafuta taratibu huchanganya mbawa zake,milindimo na mivumo huumiza masikio hata majani na mimea huteketea kwa dhoruba lake!.

haishii hapo tu bali maangamizi lzm yatokee hasa pale ktk kujikweza kwake! upepo chini yenyewe juu hii ndio logic yake yakujikweza.
 
Huo ndio ukweli
Nyie geeken tu madege
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
Wameitwa malofa na wapumbavu bado jamaa la push up wamempa au sijui ameiba huyu.[emoji15] [emoji16] [emoji12]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: dtj
CDPH-5038-044R.jpg

Hivyo ndivyo walivyo hawana hata chembe ya utu wao kujikweza ndio utukufu wao, nakwakuwa wanambawa ni ndoto kuwapata.
lkn kazi ni pale wkt wa kuongeza mafuta hushuka,huzima pangazao na kutulia tuli kama mto mtakatifu!, kumbe mamba wametapakaa chini yake!.

zile kelele zakutisha tena huisha maana huitaji tena kuwezeshwa kulindima,kuvuma nakupaa.
pindi helkopta inapopata mafuta taratibu huchanganya mbawa zake,milindimo na mivumo huumiza masikio hata majani na mimea huteketea kwa dhoruba lake!.

haishii hapo tu bali maangamizi lzm yatokee hasa pale ktk kujikweza kwake! upepo chini yenyewe juu hii ndio logic yake yakujikweza.
Daaaah, NADHANI NIMEKUELEWA SANA. Well said mkuu
 
Tunakumbushana tena ndugu.. Kuna watu wanaishi Kama helkopta.
 
CDPH-5038-044R.jpg

Hivyo ndivyo walivyo hawana hata chembe ya utu wao kujikweza ndio utukufu wao, nakwakuwa wanambawa ni ndoto kuwapata.
lkn kazi ni pale wkt wa kuongeza mafuta hushuka,huzima pangazao na kutulia tuli kama mto mtakatifu!, kumbe mamba wametapakaa chini yake!.

zile kelele zakutisha tena huisha maana huitaji tena kuwezeshwa kulindima,kuvuma nakupaa.
pindi helkopta inapopata mafuta taratibu huchanganya mbawa zake,milindimo na mivumo huumiza masikio hata majani na mimea huteketea kwa dhoruba lake!.

haishii hapo tu bali maangamizi lzm yatokee hasa pale ktk kujikweza kwake! upepo chini yenyewe juu hii ndio logic yake yakujikweza.
Ukiacha wenge huwa una madini sana..hongera mkuu KENZY kwa uzi mzuri
 
😂😂 Tunaenda na wakati Kuna muda wa wenge na muda wakutulia sahivi ni muda wa wenge damu inanichangamka..😅
 
Back
Top Bottom