Nadhani hapo issue ni communication. Ongea unachopenda kifanyike, kwa sababu background habits needs polishing.Kwenye mahusiano ndiyo muda wa kusoma a tabia
Kama unavyosema mkuu ukiona communication haisaidii wengine wanajiona wako kufunga ni na a kumaliza kazi anatafuta baa safi anakaa, mazingira ya myumbani ameyakinahiNadhani hapo issue ni communication. Ongea unachopenda kifanyike, kwa sababu background habits needs polishing.
Naelewa pia kuna wanaume ambao kwenye mahusiano na ndoa changa walikuwa washauri wazuri kwa wake zao. Lakini as time went on, wakagundua walikuwa wanampigia mbuzi gitaa.
Usije kutamani kuishi na mwanaume ambaye mwanzoni wa ndoa alikuwa mshauri mzuri, lakini alivyoona ushauri wake hautiliwi maanani, akaingia kwenye silent mode.
Mwisho wa siku wageni wakija nyumbani wanasema, "mume wako mpole, hata haongei" kumbe ni silent mode.
Unakuwa na mategemeo ukimuoa atabadilikaatakua amempenda kama alivyo maana wakati wa uchumba kabla ya doa kuna mengine aliyaona...maana siamini alimuona na kumuoa bila kuchunguzana...
kuna mambo hayanifichi kamwe kama hakusema wakati wa uchumba sasa ni avumilie na wawekane sawa...
nobody is perfect
Kama upo kwenye mawazo yangu.Kama unavyosema mkuu ukiona communication haisaidii wengine wanajiona wako kufunga ni na a kumaliza kazi anatafuta baa safi anakaa, mazingira ya myumbani ameyakinahi
lol hio haipo kwamba unaona kasoro fulani aafu unajipoza aaa huyu tukioana itakua poa..Unakuwa na mategemeo ukimuoa atabadilika
Hawa watu walioishi kama senior bachelors wana changes kuishi nao. Wamezoea style flani ya maisha yaoKama upo kwenye mawazo yangu.
Kwenye ndoa small details matter. Kuanzia kurudisha vitu sehemu yake ambayo mumekubaliana kama viatu, soksi mpaka chupi.
Paying attention to small details that your loved one says easily, though firmly.
Ukitaka kucope na mtu ambaye alikuwa senior bachelor inatakiwa umsome kwanza. Likes na dislike.Hawa watu walioishi kama senior batchelors wana changes kuishi nao. Wamezoea style flani ya maisha yao
Tunapowapatia ni kwenye chakula, ikiwezekana kum-win mwanaume kwa msomi na personal hygiene mengine ni rahisiUkitaka kucope na mtu ambaye alikuwa senior bachelor inatakiwa umsome kwanza. Likes na dislike.
Baada ya hapo communication ndiyo itaokoa jahazi.
Hayo ni mambo Minor saana na ishu za kurekebishikaUmefika 30+ hajaoa lakini nyumba yako inapendeza. Unapenda sana umaridadi hata dining table yako ni ya kioo na sofa za leather. Jumamosi asubuhi unapolish meza na unasafisha nyumba ndiyo tmroutine uliyojijengea.
Rafiki zako wanapenda kuja kuangalia mpira kwako. Na Mara nyingi wanaleta vinywaji na vitafunio kama si kuchoma nyama hapo.
Umri unakwenda na unekutana na huyu dada ambae roho yako imempenda. Unaamua kumuoa kwa harusi ya kufana sana. Sasa tangu uoe mke hana mpangilio kabisa wa nyumba. Ile dining table haipati polish. Unaweza kurudi kutoka kazini unakuta khanga imetupwa juu ya kochi. Unaona aibu hata kukaribisha marafiki nyumbani.