Kuna watu wana majibu Konki nyie!

Kuna watu wana majibu Konki nyie!

Smile Digital Stationery

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2024
Posts
202
Reaction score
317
Story time...
Baada ya kuwasalimu kwa NRNE.

Tuchangamshe genge kidogo.
***
Miaka miwili ilopita nilikuwa kule kanda ya ziwa KAHAMA MJINI, kiutafutaji.
Nilikuwepo kata ya Nyasubi kimtaa flani hivi, mizunguko yangu sana ilikuwa ni Malunga - Mashineni na Nyasubi na sio kwamba huko kwengne nlikuwa sitembei.

Asa siku moja nipo na rafiki angu tunatoka Malunga mashineni twarudi Home, ilikuwa ni mida ya saa 1 usiku, tulikuwa tuna print (tunatembea) mdogomdogo tukasema tupite shortcut ile ya kupitia stend ya malori karibu na uwanja wa Taifa kuja kutokea majengo inayotokea kwenye lami karibu na bank za NBC na NMB pale halafu kwa nyuma kidogo kuna bar inaitwa Chillar ipo njiani ukiwa unaelekea Phantom (kwa waliokaa kahama watakuwa wananielewa),

Asa pale Chillar upande wa pili wa lami kabla hujatokea kwenye lami uitazame Chillar bar yenyewe kuna kauchochoro walikuwa wanajipanga makahaba wakijiuza. Tukajadiliana na jamaa kuwa tuwakwepe au tupite zetu?, maana ni barabara za mtaa ila wao wanasimama kando na maeneo hayo kuna gest bubu nyingi sana, nahis zile gest wale madada poa ndo wanazipa sana hela maana ukielewana nae ndo anakuongoza mnaingia huko nadhani anakuwa keshachukua chumba kwa usiku mzima.

Basi bana, tukakubaliana kuwa kama watatusumbua tusijifanye mabubu, sie tuongee nao ila nkamwelekeza mwenzangu maana yeye ni mtu wa kule na kuna kauli za huku kaskazini hazielewi, nikamwambia kwakuwa hatuna nia ya kununua malaya, basi tuwaombe bidhaa ambayo hawawezi kuitoa lazima watakataa.
Jamaa akaanza kunicheka "Oyaa hawauzi pipi hawa", nkamwambia asee mimi naelewa usifikiri nimeanza kuwaona huku hawa, wapo maeneo mengi tuu nchini.
Akaniuliza haya bidhaa gani unayosema, nkamwambia wewe tukifika pale tutagawanyika ila target tukutane kule mbele tuendelee na safari, asa ili watukatae we ukifika muulize "UNAPIGA MIGUU YOTE?"

Jamaa angu akaanza kutoa macho, kupiga miguu yote ndo nini?,
Nikamwambia asa siunaona ulivyo mgeni kwenye haya mambo😄.

Nkamuelewesha kuwa miguu yote maana yake anatoa mbele na nyuma?. Hapo ndo jamaa akanielewa.

Basi tukatembea kufika tuu mara 'Kaka mambo, hebu njoo tuongee' Wala hatukuwa na roho mbaya jamaa akaenda kule mm nikaenda huku n.k, ombi letu likawa ni moja, "Unapiga miguu yote?", kwa upande wangu niligundua hiyo lugha kule hawaijui na hata nlivyowaelewesha bado kila mmoja alikataa wanasema "huko situmiagi" Mmoja tuu ndo alikubali na nikamwambia nataka tukalale kwangu (hii nilimwambia maana mtego wa kwanza kauvuka asa ili nimuache nikamwambia hvyo maana najua huaga hawakubali kwenda kulala mapema ile) akaniambia sawa lakin hadi saa Nne ndo itawezekana, wew nipe namba yako nawew chukua yangu mida ikifika ntakushtua utanielekeza nije.
Nikaondoka kidgo mshkaji anakuja akanishika mkono akaniambia 'Tuondoke' ila ni kama yupo kinyonge hivi😄.
Nikamuuliza vipi kwema?, Nasikia jamaa anasonya tuu🤣, oyaa kuna nini?,
Sindo ananiambia yaliyojiri, anasema baadhi walikataa kuwa huko hawatumii ila mmoja ndo kamwaribia siku kwa jibu alompa,
Nikamuliza amekujibu nini?
Ndo anasema huyo yeye kamjibu kamwambia "MIMI NAKUPA **** KWASABABU WEWE HUNA, ILA WEWE UNAOMBA MK... KWANI NAWEWE SIUNAO?"🤣🤣🤣 Aloo nilicheka hadi nafika nyumbani, yaan jamaa alikuwa ananielezea kwa hisia sana kila nkimwangalia mimi mbavu sina.
Nikajisemea ila kwa hilo jibu ni halali jamaa amaind🤣.

Wakuu mimi sijawahi kabisa kupita na madada poa ila ilikuwa ni kama tunafanya research, msije mkaanza kusema ndo ulevi wangu huo😄.

Ila kusema ukweli huu ufuska kule kanda ya ziwa haujashamiri kabisa, yaan wale wasukuma, wahaya n.k hawajui kabisa hiyo tabia ya kutumika kinyume na maumbile, na hata ukimuomba anakushangaa, hii inaonyesha kwamba bado wapo na maadili sio kama huku ukanda wa Pwani kulivyoharibika kwa hiyo tabia.
Kanda ya ziwa hasa Kahama wapewe maua yao.👏👏👏

Ile Kahama inaongoza kuwa na Ma single maza kinyama, yaan mabinti wengi wanaishi wenyewe ila lazima umkute ana mtoto mmoja au wawili, hvyo kaja kahama kutafuta maisha na wengi sio wa pale kahama wengine watakwambia kwao ni Tabora n.k.
Kwahyo kutokana na majukumu ukimshtua tuu unajilia ila naww ujiandae na vizinga maana kama mnavyojua Wasukuma washawaharibu wanawake wa ukanda wa kule maana wao kutongoza sio wazuri ila wanaongeaga kwa hela.
Japo nlichogundua wanalika pia bila hela, ni domo lako tuu na tricks zako.

Mnakaribishwa kwenye comments.
 
Back
Top Bottom