Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,038
- 15,283
Nilipomuona huyo jamaa nikajua ni classmate, na hio picha chini nikajua kwao ni jirani yetu labisa. Kumbe walikuja kutembea tu.Hiyo picha ya mwisho walikua wametembelea Singida kwenye shamba lao la alizeti..🤗
Wanabubujikwa na machozi ya furahaTafuta na wewe pisi yako moja mpeane furaha usisahau kua na hela!
Wenzako hapo hawana stress za vicoba wala hela ya kuhonga ndio maana unaona smile on their faces🤸
Tatizo wewe unadhani stress zinatoka kwenye vicoba na hela ya kuhonga. Kila level anayoifikia mtu ina aina zake za stress. Sema wengine stress zao hadi uje ujuwe, labda kama upo karibu naye sana, vingine huku dunia ya nje yao wanaonyesha vicheko na matabasamu ya kutosha..!!Tafuta na wewe pisi yako moja mpeane furaha usisahau kua na hela!
Wenzako hapo hawana stress za vicoba wala hela ya kuhonga ndio maana unaona smile on their faces🤸
Kuna huu msemo wa "tafuta hela" umealibu sana hii nyanja ya mapenzi.Love is free for everyone ni kuamua TU kupendana au muendelee kuangalia nani ataanza kumsalimia mwenzake!
Mbona suala la kuwa na hela umeliongelea kwa nafsi ya umoja? Ungesema msisahau kuwa na hela yaani wote wawili muwe nazoTafuta na wewe pisi yako moja mpeane furaha usisahau kua na hela!
Wenzako hapo hawana stress za vicoba wala hela ya kuhonga ndio maana unaona smile on their faces🤸
Ukichoka simama tu mkuu.Ngoja nikae kimya
Karibu Tanzania sheikhUkichoka simama tu mkuu.
Hela hazitoshi ukingoja uzipate utapanda mnazi hadi uchoke we piga vocal akikuelewa atakuja hata kwenye single roomKuna huu msemo wa "tafuta hela" umealibu sana hii nyanja ya mapenzi.