kuna watu wakatili aisee,,

Huwezi mfanyia hivi paka na ukabaki salama.paka ni kama chui,walianzaje kumshika na kumfunga hivi?huyo hua ni mnyama wa hatari kuliko watu wanavyofikili
 
Kutakuwa kuna jambo lilidhamiliwa kufanywa sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…