kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Kuna jamaa tulikuwa naye restaurant sasa kuna demu fulani ambaye alikuwa anahudumia wateja kama alibanwa na haja ndogo au kubwa akaita mfanyakazi mwenzake aje kuhudumia wateja yeye aende kujisaidia
Uyo ambaye aliitwa alikuwa mwanaume
Akahudumia baadhi ya wateja pale
Ndipo alipo tokea uyo bwana
Yule jamaa akamuuliza ni kusaidie nini jamaa akawa ana cheki pande zote yule mfanyakazi akamuuliza unataka nini
Jamaa akasema kuwa mimi kila nikija hapa kuna mwanamke mbaye ana nihudumia yuko wapi
Yule mfanyakazi akajibu kuwa hayupo ila wewe sema tu mimi nita kuhudumia
Jamaa akakataa kuhudumiwa na huyo mfanyakazi wa kiume
Eti hawezi kuhudumiwa na mwanaume mwenzake eti kila akiwa nakula anakumbuka aliye pakuwa chakula icho ni dume kama yeye hawezi kuwa nahamu ya kula tena hata kama chakula ni kitamu vipi