Wakati wa mjadala wa Escrow mwaka jana serikali ilituaminisha kabisa kwamba pesa iliyochukuliwa na ilikuwa siyo ya serikali na uamuzi wa kuwapa IPTL ulikuwa ni halali.
Jemedari Kafulila aliitwa majina mengi na mwanasheria mkuu aliyepita kwa mbwembwe na dharau alimtukana Kafulila,leo kiko wapi?
Tanesco wanatakiwa kulipa pesa, umeme unapanda bei kwa sababu ya kulipia deni pesa iliyokwapuliwa.
Kauli ya Muhongo na mwanasheria mkuu aliyepita ilikuwa kuhalalisha wizi wa pesa yetu.
Je hawastahili kushitakiwa? Je Muhongo bado anatosha kubakia kwenye wizara ya nishati?
Au kama anabaki kwa nini tusiamini kuwa pesa ilienda kutumika kwenye kampeni za CCM? Watanzania tunamalizwa tunachekelea.CCM wanatutawala hata kama ni gharama ya damu yetu.VIVA KAFULILA.