PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,447
Wewe ni mfupi na mnene[emoji41]?Unatuonea sisi wafupi mkuu
Haya vifupi nyundo mnaitwa huku jomoniii😂
Tumuulize PANTHERA LEOHuu ufupi unaishia cm ngapi? maana nahisi na mimi mmoja wao.
Chini ya futi 5.1 ni mfupiTumuulize PANTHERA LEO
Wewe ni mfupi na mnene[emoji41]?
Basi nimeshapita, kwa nukta chache sana.Chini ya futi 5.1 ni mfupi
Basi hata tabia itakuwa mmetofautiana nukta chache sana[emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787]Basi nimeshapita, kwa nukta chache sana.
Basi hata tabia itakuwa mmetofautiana nukta chache sana[emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787]
Hapo ndio ninapo wapendea kwakweli..halafu hao wafupi kwa kitanda watamu mno.....utafikiria hawajui kuongea......huwa wanaongea kwa ukali uliopoa....watamuuu na wanajua kupika hao....nakushauri we mpende tuu
Sasa mkuu kuisoma yote sio sababu... Je uki ignore utaweza kuifungua?Ile license agreement kuna wanoko wanaisoma yote, hakuna kuleteana mzaha kwenye mambo ya msingi