Kuna wanawake wana mioyo ya chuma

mbona kawaida hiyo duuu kuna moja ilitokea mtwara mitaa ya stendi pale vigaeni mchana kweupe kwenye gesti moja uwiiiii ilikuwa shidanian mbona
 
Aisee sasa presha zote za nini??!! Kama vipi si bora uwe single tu.
 
uyo jamaa anahuruma sna mi ata bikin simpi angetoka km alivokuwa anasaliti..
Ni mama wa watoto wako. Saa nyingine unatakiwa kufanya maamuzi ukiwafikiria watoto. Mwanamke ukishazaa nae kuna vitu hutakiwi kufanya kabisa maana ukimdhalilisha yeye unawadhalilisha watoto pia na mbaya zaidi hawa watoto wataathirika katika maisha yao yote.

Watoto mkuu watoto....
 
NK ishu sio kuchapiwa as much as kachapiwa wapi? Mimi mke wangu akimegwa mitaani huko uamuzi nitakaochukua ni tofauti sana na akimegewa ndani kwangu tena katika kitanda changu mwenyewe.
 
Koooooh! Koooooh!
lara moko naona unafuraaahi mwenyewe ila kumbuka habari ndio kama hizi. Ni vigumu sana kukuta mtu anaanzisha uzi kuhusu mume aliyerudi akapokelewa vizuri na mke, akapewa chakula na wakafurahia mapenzi yao kwa sababu kawaida sio habari.

Mfano mwingine ni mara chache sana kukuta mtu ataanzisha uzi kwamba ndoa yangu ni tamu na ninaifurahia, kwanza muda huo anakuwa bize kufurahia maisha lakini kikinuka ndio utaona anakuja. Kwa maneno mengine kwa fumanizi hili nina hakika kuna ndoa nyingine 1000 ziko vizuri hadi muda huu.
 
NK ishu sio kuchapiwa as much as kachapiwa wapi? Mimi mke wangu akimegwa mitaani huko uamuzi nitakaochukua ni tofauti sana na akimegewa ndani kwangu tena katika kitanda changu mwenyewe.
Usimpe ibilisi nafasi
 
Ee Mungu nusuru ndoa za kizazi hiki pasipo we we sioni usalama
 
tambua kuwa nami ni baba watot wke kuna vitu vya kishenz km ivo hapaswi kunifanyia kabisa mbaya zaidi anagegedwa mbele ya watot wng (chumban kwangu) huruma haimfai kabisa..
 
tambua kuwa nami ni baba watot wke kuna vitu vya kishenz km ivo hapaswi kunifanyia kabisa mbaya zaidi anagegedwa mbele ya watot wng (chumban kwangu) huruma haimfai kabisa..
Haya mkuu endeleeni kudhalilishana.
 
Jamani wengine wanatabia za nzi kuskia harufu ya choo tayar washajazana sio wote umalaya n.hulka ya mtu husika na kuamua tu kua malaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…