Kuna wanawake wana gundu

frankly speaking hadithi yote uliyosimulia sijaona gundu la huyo demu liko wapi...

gari lipate pancha, gari lizimike betri, wewe usahau simu,
wewe usifunge mkanda, wewe upigwe bao na trafiki....sasa hapo gundu la demu liko wapi?...

angalia dogo usikute gari ndio lina gundu...

huyo uliyemwazima jana kuligeuza gest full ku$%$%oombea vipande vya ndom wimezagaa gari zima.....

au wewe ndio una gundu...umekurupuka hujakoga ulikuwa unamla hauz geli wenu mbiombio kwenye gari na mijanaba yako ...... angalia kwa makini INAANZA NA WEWE.

NI HAYO TU.
 
igundua unalo wewe na Mungu alitaka kumuepushia dada majanga yako!!
 
Mkuu,au ulikuwa unawaza "gemu" tuu barabara yote.Yaani ulikuwa "absent minded" hadi unasinzia ukiwa "umekodoa" macho.
 
Una imani haba sana wewe. Kwanza hujiamini na hata utakaemwoa kazi anayo maana kwao wote utaona wana mikosi kumbe ni wewe.
 
...unaonekana tangu umebalehe hujawahi kugonga demu mkali..zaidi ya kimboka na wakina mwajuma ndala ndefu....
 
Ulichanganyikiwa akili ikahama ukawa unafanya mambo bila mpangilio maalum;
ushukuru ulimruhusu aondoke manake huko mbele na jogoo asingepanda mtungi;

Ila usimwache jaribu tena ila uwe na utulivu wa kutosha.
 
ukichanganyikiwa ndio tairi lipate pancha nakubali ni mrembo sana na nilikuwa natokwa na mate lakini mimi huyu ni mwanamke wa kama 30 hivi so sio mgeni kwenye haya mambo kiasi hicho
 
Hatimaye mvulana anajisifia uzinzi!!
ukichanganyikiwa ndio tairi lipate pancha nakubali ni mrembo sana na nilikuwa natokwa na mate lakini mimi huyu ni mwanamke wa kama 30 hivi so sio mgeni kwenye haya mambo kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…