Kuna wanawake wana gundu


Na bado mngefika kwny hatua ya migegedo dushe lingelala ucngizi wa pono
 

Mkuu ukiwa na hao viumbe we jiamini tu!,... Punguza mzuka. Inaonekana hukuamini alivokuambia umfuate kwao!
 
duuh..sasa hapo nani ana gundu..kati ya ww na yy?
 
hahahaaaaaaaa! yakweli hayo au unajifunza kuandika hadithi?
 
kule kwetu uchagani kuna wanawake huwa tunasema 'wanavunja'
 
gari nalijua vizuri halina matatizo yoyote

Kama halina matatizo kwa nin likuzimikie, kwa nini lipate pancha??

Btw waonekana ni mshamba sana wewe na hujazoea kuendesha gari/magari ndio maana hata ukakamatwa kwa kosa la kizembe la kutofunga mkanda wa usalama...
 
Mmmmmmmmh gundu?
Wewe ndo unagundu jombaa na gari lakuazima!
 
Kama halina matatizo kwa nin likuzimikie, kwa nini lipate pancha??

Btw waonekana ni mshamba sana wewe na hujazoea kuendesha gari/magari ndio maana hata ukakamatwa kwa kosa la kizembe la kutofunga mkanda wa usalama...

hivi pancha unawezaje kuizuia
 
Una bahati..ungeendelea kung'ang'ania baada ya kumgonga ndo ungepata super gundu.Mambo yako yote yangeharibika.Nina ushahidi wa mtu aliyeoa dem mwenye gundu
 

ulipoachana nae gundu liliisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…