Hahahaaa...Gundu unalo mwenyewe na gari la kuazima..!!
nikachukua gari la brother mpaka kwao ile anaingia gari ikagoma kuwaka ,tukarekebisha .kufika maeneo ya chuo kikuu,pancha,tukaziba ,kufika ubungo trafic wakatupiga bao eti hatujafunga mkandaelfu kumi ,kucheki mfukoni simu nimesahau pale nilipokuwa naziba pancha kurudi siiikuti
Wewe waendesha gari ya kuazima usiyoijua matatizo yake wategemea nini?
Ona sasa pepo la uzinzi linachokuelekeza kutueleza, "eti kuna wanawake wana gundu"...
Unaancha kumshukuru Mungu kwa kukuepusha na zinaa pengine ulikuwa unaepushwa na "ngoma"...
gari nalijua vizuri halina matatizo yoyote
gari nalijua vizuri halina matatizo yoyote
weekend hii nilikuwa sina hili wala lile mara mdada niliyemfukuzia miezi kadhaa akasema nimfuate kwao kijitonyama ,nikachukua gari la brother mpaka kwao ile anaingia gari ikagoma kuwaka ,tukarekebisha .kufika maeneo ya chuo kikuu,pancha,tukaziba ,kufika ubungo trafic wakatupiga bao eti hatujafunga mkandaelfu kumi ,kucheki mfukoni simu nimesahau pale nilipokuwa naziba pancha kurudi siiikuti,mchezoo ukaishia hapo nikampa elfu mbili ya nauli arudi kwao na uzuri wake wote nimenawa mikono
nasikia kuna wadada ukioa nyota yako inafifia au unafirisika sasa huyu naona unaweza kufa kabisa