Umemjibu vizuri! Kuna watu wanaishi ulimwengu wa uharibifu wakidhani kila mtu anaishi ulimwengu huo! Dunia hii Mungu yupo na bado anatawala! Wanawake na wanaume waaminifu wapo tena wengi! Mabinti na vijana wenye bikra (ambao hawajanajisiwa) wako wengi tu! Inategemea familia, aina ya maisha na watu waliokuzunguka (yaani ulimwengu wako unaoishi).