Na rafiki yangu mmoja kaoa mwanamke yuko rafu kichizi kwanza sebuleni kwao siku zote zimezagaa nguo hovyo hovyo haijulikani ni nguo safi au chafu, anaweza akajiremba kinoma ukapishana nae mtaani bonge la mrembo ila mwana akikwambia twende nyumbani maramoja utaenda kukuta beseni limejaa maji ya ukoko