Kuna Wanawake Mungu Kaumba!

Hizi nyuzi bila picha msiwe mnazileta humu, mnatunyima uhondo tu.... Sasa unakutana na hiyo nyara alaf unaicha bila hata kuipiga picha
 
Ndio mnataka mkabidhiwe bakwata watu kama nyie!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kuna wengine Mungu hajaumba?
 
Tena huenda akawa Memba wa JF na anaweza kujisoma.
 
Niliingia CRDB azikiwe premier pale,aisee nilikutana na mrembo huyo..ngozi ile tu ni as if hatokagi nje yaani..aloo kuna wanawake ni extraordinary kwenye uzuri
 
Hii Dunia kila ukisema eeh huyu ni mrembo,kinatokea Kisu mpaka unamsahau yule!
 
Niliingia CRDB azikiwe premier pale,aisee nilikutana na mrembo huyo..ngozi ile tu ni as if hatokagi nje yaani..aloo kuna wanawake ni extraordinary kwenye uzuri
Lakini Mameneja unakuta huwa wanafaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…