Kuna wanaume mnajitafutia matatzo wenyewe

mhmh mimi mgeni ngoya tuwasubiri wenyeji wenyewe
 

Unafikiri la mademu wa maisha ya kawaida ndio suruhisho basi?hapa issue ni amelelewaje huko nyuma na je maisha anayoishi sasa ndio yaleyale aliyokuwa nayo before maana kuna wengine wamezifumania ukubwani na hawakutegemea kama wangekuwa hivyo na wengi wao ndio wenye complication (hi ni kwa me na ke). Wakati mwingine na wanaume inatakiwa kuwa real maana mtu huna uwezo unakomaa kutoa matunzo kwa kujitutumua mwisho wa siku unaishia njiani lakini kama ungekubali matokeo mapema huenda hata huyo mrembo ungekuwa umemrudiha kwenye mstari based on na kiwanga unachokipata per MOON.
 
kumbe mzabzab uko timamu?hahhaha naomba range?hata baiskeli huna

hahahaha mie mbona timamamu...umejuaje sina ata baisikeli?
mhm range kusema kweli mie nitampa wife sio demu wakugegeda tuu. na tena wife mpaka apate range kama nilivyokwambia jana she has to give me two lovely daughters.....immediately akinipa daughter namkabidha my wife range yake alafu sasa rah kidume unakuwa unaendeshwa na mkeo. dah jamani maisha ya ndoa raha.
 
Wale wote wanaopinga kwamba mademu classic hawachuniki wajaribu kusoma simulizi moja kwenye gazeti la Dimba siku ya jumapili.

Hao mademu toka tukiwa shuleni tulikuwa tunawala papuchi kama kawaida, mwanamme mjanja hashindwi na kitu, ukitaka wwenye hela wajanja watakuazimia kwa jirani hata vogue wakipata wanachotaka utasikia redio one wakitafutwa na wapendwa wao tu.
 
He he he, basi malezi yana kazi

Mie sijafikia level za corporate lakini sijawahi piga mzinga tangu nasoma,
Ila haimaanishi sijawahi hongwa. Ndio watu wanahongwa hela za saluni na vocha sababu ya kuomba omba
Unakuta mtu anampa mwanamke elfu hamsini? Khah!

Kuna demu 'hasiyepiga' mizinga dunia hii!? Hasipopiga ujue hana wa kumpiga mizinga...
 
Reactions: LD

Nyingi au kidogo!?
 
me na wewe jana tumeonana wapi tukazungumza.huna hata baiskel your narration speak loudly.We ushajua genetics zenu she ni problem unalazimiisha endelea utapewa three sweets daugt not two, ukizingatia sura yako hailipi ndo utajua donor ni me na sio ke,eti akupatie, toka wapi kam we huna
 
Mbunye ni mbunye tu..Iwe nyeupe iwe nyeusi UTAMU ule ule tu...iwe ya Manzese iwe ya O'bey zote utamu kunoga...
 
Mwana acha kudharau kazi za watu..
 
Dharau kivipi au unataka uonekane na wewe umeongea nn?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sina maana hiyo..ila unapoweka kabisa 'walinzi wa KK Security' huoni kwamba unawakwaza watu wa sekta hiyo?
 
Mie huku kijijini kwetu Imalamasangu sihitaji kuhonga ela nyingi maana wanaojifanya wanakata sana wananzengo wanasema jamaa ana ngwengwe hivyo anataka kuwaambukiza
 
Kuku wa kisasa wanaitaji matumizi makubwa huku mambo fulani sifuri kabisa. Kumuingiza bandani mpaka umbebe
Mambo yote kuku wa kienyeji uswahilini, kukuru kakara wacha weye.
Hapana chezeya uswahilini wa mizinga ya vocha jero jero.
 


Shikamoo kaka Mzabzab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…