Unayoyasema ni sawa kwa upande mmoja tu, ninavyofahamu mimi ni kwamba demu wa matawi ya juu unamfaidi pale tuAwe wa matawi ya juu au ya chini mbunye ni ile ile, matiti ni yale yale........na hao hao matawi ndio wanachapwa sana na mashamba boy, wapaka kucha rangi na wauza mboga mboga. Swala la mapenzi au sex halina formular kwamba eti wa masaki afwatane na wa masaki wenzake, na wauswazi ambao ni wa kuunga unga wafwatane na wa design hiyo
Mkuu wewe acha tu, kuna rafiki yangu alipata shida sana, mimi nikawa namshauri apige mzigo chini lakini wapii..Demu wa level za corporate naye anapiga mizinga? He he he he
Unayoyasema ni sawa kwa upande mmoja tu, ninavyofahamu mimi ni kwamba demu wa matawi ya juu unamfaidi pale tu
anapokufuata yeye mwenyewe hata kama wewe ni pangu pakavu, lakini ukianza kumfuata wewe ndio wajitafutia majanga..sisi wengine tulifuatwa na tulikataa vile vile, bora tu kuchukua za uswahilini kwanza ziko hot by nature..
Shida sio kuwapata, baada ya kuwapata jee utaufurahia huo uhusiano..?? ni wachache wanaohimili vishindo, labda uweHakuna formular my dia, wapo waliowatongoza na wakawapata vile vile
Awe wa matawi ya juu au ya chini mbunye ni ile ile, matiti ni yale yale........na hao hao matawi ndio wanachapwa sana na mashamba boy, wapaka kucha rangi na wauza mboga mboga. Swala la mapenzi au sex halina formular kwamba eti wa masaki afwatane na wa masaki wenzake, na wauswazi ambao ni wa kuunga unga wafwatane na wa design hiyo
wacheni uongo wenu....watu tunatofautiana class na ni better ukaenda kwa mtu ambaye mnalingana class not becoz mbunye au matiti yaki ni better au ana utamu better but becoz relationships are more thna just sex na hiyo miwowowo na matiti. lazima muweze kuelewana, to see life the same way. so yes it matters class gani ya mwenza unaenda nae. huwezi kuwa wa masaki ukataka mtoto wa tmk no way...first of all anaweza kuwa hana exposure na muono wake wa maisha sio sawa na wa masaki. be real am sure wewe huwezi kubali kutoka na muuza genge..yes unaweza mvulia chupi becoz human stupidty knows no borders but i higly doubt it that u would wana date the man...hamna zali la mentali...thats just fantasy
kuhusu kubatuliwa any gal anaweza batuliwa na kugegedwa vizuri na minjemba nje...that applies to wa masaki au changanyikeni...infedility knows no class. mizinga ni part ya relationship nyingi siku hizi and y not...it only goes to show how willing u are to take care of her and make sure she has fun. the only issue is that demand what is equal to ur beauty...simple as that. if u as beautiful as charlize theron then mzabzab will have no problem buying u a range rover and provided u the wife too...but kama sura yako ya kawaida tuu chips kuku labda na outing za kempisky zinatosha. BE REALISTIC!!!
Demu wa level za corporate naye anapiga mizinga? He he he he