Katika utawala wa Awamu ya NNe hakika nilikata tamaa na hiki chama kwa sababu pamoja na juhudi za rais kuweka juhudi kutupaisha kiuchumi lakini waliomzunguka kuanzia Waziri Mkuu (Ngoyai) na akina mzee Makamba walikuwa wapiga dili wakubwa...
Chama kilijaa rushwa hasa kwa waliokuwa wanasaka nagfasi za uteuzi na hatimaye tukapata viongozi wengi corrupt. Serikali ilichafukwa haswaa na watumishi wa umma wakawa na utajiri wa kutisha kuliko hata wafanyabiashara wanaolipa kodi.
Lakini tangu Magufuli achukue fomu ya urais, moyo wangu ulipunguza stress zote na sasa nashuhudia mabadiliko makubwa ya ukuaji wa uchumi ambapo unakua kwa kasi kubwa. Magufuli ameishi kwenye Legacy aliyoijenga kwa muda mfupi sana kwenye uongozi wake.
Rais tuliye naye ni kiongozi haswaa na siyo mtawala kama wengi wanavyomuita. Anaona mbali na kuongoza njia ya kufika huko. Habebwi bebwi na watu bali kazi yake inambeba.
Viva JPM Viva
ukiwa na nyongo ruksa kuishusha hapa
Uzi meazni
Pole kwa kuguswaMsiiiiiiiieeeewww[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
We jamaa kweli kiazi mbatata mwenyew anajiita mtawala, wewe kisebengo unakuja hapa unasema sio mtawala kama wanavyomuita, nani kamuita mtawala kama si yeye mwenyewe kujiita mtawala " siwezi kutawala wananchi wenye machozi " ..... Hivi upo humu kuandika andika mashudu hata huyo unaemshadadia huwa hupati Muda wa kusikiliza hotuba zake???
For official useEmail ipo ila namba ya simu ya nini mkuu?
Weka yako
Me? Hahahahah it seems like you got a hole in your head.When heist thinks can do better a security job at the loaf factory.... you are the one