Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Tuache utani hili swala sio LA wapizani,hii ngoma ni ya ccm na wananchi tuache kuwaingiza wapizani,wapizani wanatoa mtazamo tu ya Ku handle ishu hii
Ondoa neno "wajinga" otherwise you are OKTuache utani hili swala sio LA wapizani,hii ngoma ni ya ccm na wananchi tuache kuwaingiza wapizani,wapizani wanatoa mtazamo tu ya Ku handle ishu hii
Wapinzani sio wananchiTuache utani hili swala sio LA wapizani,hii ngoma ni ya ccm na wananchi tuache kuwaingiza wapizani,wapizani wanatoa mtazamo tu ya Ku handle ishu hii
Chama cha Majambazi yako Busy kutaka ku share aibu yao na WapinzaniTuache utani hili swala sio LA wapizani,hii ngoma ni ya ccm na wananchi tuache kuwaingiza wapizani,wapizani wanatoa mtazamo tu ya Ku handle ishu hii
Wanatoa maoni ambayo ni kama wanaomba JPM ashindwe ...umeona mpinzani aliyechambua hoja za kamati? Kamati imekuja na findings kibao lakini tunajadili kwa kelele zile zile ambazo hazijawahi kufanikiwa ....bora Zitto aliyekiri Tafiti hupingwa kwa Tafiti tofauti na wazee wa kuropoka ....Tuache utani hili swala sio LA wapizani,hii ngoma ni ya ccm na wananchi tuache kuwaingiza wapizani,wapizani wanatoa mtazamo tu ya Ku handle ishu hii