KUNA WADAU WA NETWORK MARKETING HUMU?

KUNA WADAU WA NETWORK MARKETING HUMU?

Philip D Ruzige ninakushauri kama Jambo haulijui vizur uulizie. Hiyo ndiyo njia sahihi ya kupata maarifa. Network Marketing ni mfumo wa biashara ambao kwa sasa unapendekezwa na wana uchumi wakubwa Duniani. Ukijifunza zaidi utajua kuwa DECI sio Network Marketing bali Pyramidal Schemes (Ponzi Schemes)
E bwana network marketing ni Ponzi Scheme,biadhaa zinakuwa overpriced,overrated na zaidi kwa huku kwetu Tanzania tunadanganyana tu.Network marketing ni mfumo ambao kwa kweli hauna tofauti na udalali wa nyumba ambapo dalali anajua kwamba kadiri bei inavyokuwa kubwa ndo na yeye ana piga hela kubwa.Kwa hiyo kubali kataa tofauti ya DECI na Network markting ni ndogo sana.Ila nakutakia kila heri katika biashara yako hiyo
 
Are you seriously kwamba 151,000 ni pesa ndogo duuu asee wewe endelea nayo tu hiyo kampuni yako ngoja pesa yangu niende zangu kwa Ontario nikasake pips huenda nitadouble before week kuisha
 
Back
Top Bottom